Hosea 9:12 - Swahili Revised Union Version12 Wajapolea watoto wao, mimi nitawanyang'anya watoto wao, asisalie hata mtu mmoja; naam, ole wao! Nitakapoondoka na kuwaacha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Hata kama wakilea watoto, sitamwacha hai hata mmoja wao. Ole wao, nitakapowaacha peke yao!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Hata kama wakilea watoto, sitamwacha hai hata mmoja wao. Ole wao, nitakapowaacha peke yao!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Hata kama wakilea watoto, sitamwacha hai hata mmoja wao. Ole wao, nitakapowaacha peke yao!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Hata wakilea watoto, nitamuua kila mmoja. Ole wao nitakapowapiga kisogo! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Hata wakilea watoto, nitamuua kila mmoja. Ole wao nitakapowapiga kisogo! Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Wajapolea watoto wao, mimi nitawanyang'anya watoto wao, asisalie hata mtu mmoja; naam, ole wao! Nitakapoondoka na kuwaacha. Tazama sura |