Hosea 5:2 - Swahili Revised Union Version2 Nao walioasi wameongeza sana ufisadi wao; lakini mimi ndiye awakaripiaye wote pia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Mmechimba shimo refu la kuwanasa huko Shitimu. Lakini mimi nitawaadhibuni nyote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Mmechimba shimo refu la kuwanasa huko Shitimu. Lakini mimi nitawaadhibuni nyote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Mmechimba shimo refu la kuwanasa huko Shitimu. Lakini mimi nitawaadhibuni nyote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Waasi wamezidisha sana mauaji. Mimi nitawatiisha wote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Waasi wamezidisha sana mauaji. Mimi nitawatiisha wote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Nao walioasi wameongeza sana ufisadi wao; lakini mimi ndiye awakaripiaye wote pia. Tazama sura |