Hosea 2:4 - Swahili Revised Union Version4 naam, sitawaonea rehema watoto wake; kwa maana ni watoto wa uzinzi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Na watoto wake sitawahurumia, maana ni watoto wa uzinzi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Na watoto wake sitawahurumia, maana ni watoto wa uzinzi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Na watoto wake sitawahurumia, maana ni watoto wa uzinzi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Sitaonesha upendo wangu kwa watoto wake, kwa sababu ni watoto wa uzinzi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Sitaonyesha upendo wangu kwa watoto wake, kwa sababu ni watoto wa uzinzi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 naam, sitawaonea rehema watoto wake; kwa maana ni watoto wa uzinzi. Tazama sura |