Hosea 2:21 - Swahili Revised Union Version21 Tena itakuwa siku hiyo, mimi nitaitika, asema BWANA; nitaziitikia mbingu, nazo zitaiitikia nchi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 “Siku hiyo, mimi Mwenyezi-Mungu nasema, nitaikubali haja ya mbingu ya kunyesha mvua, mbingu nazo zitaikubali haja ya ardhi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 “Siku hiyo, mimi Mwenyezi-Mungu nasema, nitaikubali haja ya mbingu ya kunyesha mvua, mbingu nazo zitaikubali haja ya ardhi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 “Siku hiyo, mimi Mwenyezi-Mungu nasema, nitaikubali haja ya mbingu ya kunyesha mvua, mbingu nazo zitaikubali haja ya ardhi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 “Katika siku ile nitajibu,” asema Mwenyezi Mungu, “nitajibu kwa anga, nazo anga zitajibu kwa nchi; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 “Katika siku ile nitajibu,” asema bwana, “nitajibu kwa anga, nazo anga zitajibu kwa nchi; Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Tena itakuwa siku hiyo, mimi nitaitika, asema BWANA; nitaziitikia mbingu, nazo zitaiitikia nchi; Tazama sura |