Hosea 2:19 - Swahili Revised Union Version19 Nami nitakuposa uwe wangu wa milele; naam, nitakuposa kwa haki, na kwa hukumu, na kwa ufadhili, na kwa rehema. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Nitakufanya mke wangu milele; uwe wangu kwa uaminifu na haki, kwa fadhili na huruma. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Nitakufanya mke wangu milele; uwe wangu kwa uaminifu na haki, kwa fadhili na huruma. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Nitakufanya mke wangu milele; uwe wangu kwa uaminifu na haki, kwa fadhili na huruma. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Nitakuposa uwe wangu milele; nitakuposa kwa uadilifu na haki, kwa upendo na huruma. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Nitakuposa uwe wangu milele; nitakuposa kwa uadilifu na haki, kwa upendo na huruma. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Nami nitakuposa uwe wangu wa milele; naam, nitakuposa kwa haki, na kwa hukumu, na kwa ufadhili, na kwa rehema. Tazama sura |