Hosea 2:14 - Swahili Revised Union Version14 Kwa hiyo angalia, mimi nitamshawishi, na kumleta nyikani, na kusema naye maneno ya kumtuliza moyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Kwa hiyo, nitamshawishi, nitampeleka jangwani na kusema naye kwa upole. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Kwa hiyo, nitamshawishi, nitampeleka jangwani na kusema naye kwa upole. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Kwa hiyo, nitamshawishi, nitampeleka jangwani na kusema naye kwa upole. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 “Kwa hiyo sasa nitamshawishi; nitamwongoza hadi jangwani na kuzungumza naye kwa upole. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 “Kwa hiyo sasa nitamshawishi; nitamwongoza hadi jangwani na kuzungumza naye kwa upole. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Kwa hiyo angalia, mimi nitamshawishi, na kumleta nyikani, na kusema naye maneno ya kumtuliza moyo. Tazama sura |