Hosea 14:1 - Swahili Revised Union Version1 Ee Israeli, mrudie BWANA, Mungu wako; maana umeanguka kwa sababu ya uovu wako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Enyi Waisraeli, mrudieni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Mmejikwaa kwa sababu ya uovu wenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Enyi Waisraeli, mrudieni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Mmejikwaa kwa sababu ya uovu wenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Watu wa Samaria wataadhibiwa kwa kosa lao. Kwa sababu wamemwasi Mungu wao. Watauawa kwa upanga, vitoto vyao vitapondwapondwa, na kina mama wajawazito watatumbuliwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Rudi, ee Israeli, kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wako. Dhambi zako zimekuwa anguko lako! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Rudi, ee Israeli, kwa bwana Mwenyezi Mungu wako. Dhambi zako zimekuwa ndilo anguko lako! Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Ee Israeli, mrudie BWANA, Mungu wako; maana umeanguka kwa sababu ya uovu wako. Tazama sura |