Hosea 10:7 - Swahili Revised Union Version7 Katika habari za Samaria, mfalme wake amekatiliwa mbali, kama povu usoni pa maji. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Mfalme wa Samaria atachukuliwa, kama kipande cha mti juu ya maji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Mfalme wa Samaria atachukuliwa, kama kipande cha mti juu ya maji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Mfalme wa Samaria atachukuliwa, kama kipande cha mti juu ya maji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Samaria na mfalme wake wataelea kama kijiti juu ya maji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Samaria na mfalme wake wataelea kama kijiti juu ya uso wa maji. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Katika habari za Samaria, mfalme wake amekatiliwa mbali, kama povu usoni pa maji. Tazama sura |