Hesabu 9:19 - Swahili Revised Union Version19 Hata lile wingu lilipokawia juu ya maskani siku nyingi, wana wa Israeli walimtii BWANA, na hawakusafiri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Hata kama wingu hilo lilikaa juu ya hema kwa muda wa siku nyingi, Waisraeli walimtii Mwenyezi-Mungu, nao hawakuondoka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Hata kama wingu hilo lilikaa juu ya hema kwa muda wa siku nyingi, Waisraeli walimtii Mwenyezi-Mungu, nao hawakuondoka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Hata kama wingu hilo lilikaa juu ya hema kwa muda wa siku nyingi, Waisraeli walimtii Mwenyezi-Mungu, nao hawakuondoka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Wingu lilipobaki juu ya Maskani kwa muda mrefu, Waisraeli walitii amri ya Mwenyezi Mungu nao hawakuondoka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Wakati wingu lilipobaki juu ya Maskani kwa muda mrefu, Waisraeli walitii amri ya bwana nao hawakuondoka. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Hata lile wingu lilipokawia juu ya maskani siku nyingi, wana wa Israeli walimtii BWANA, na hawakusafiri. Tazama sura |