Hesabu 8:6 - Swahili Revised Union Version6 Watwae Walawi na kuwaondoa kati ya wana wa Israeli, kisha uwatakase. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 “Watenge Walawi kutoka Waisraeli, uwatakase. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 “Watenge Walawi kutoka Waisraeli, uwatakase. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 “Watenge Walawi kutoka Waisraeli, uwatakase. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 “Watwae Walawi kutoka miongoni mwa Waisraeli wengine na uwatakase. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 “Watwae Walawi kutoka miongoni mwa Waisraeli wengine na uwatakase kwa kawaida ya ibada. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Watwae Walawi na kuwaondoa kati ya wana wa Israeli, kisha uwatakase. Tazama sura |