Hesabu 8:18 - Swahili Revised Union Version18 Nami nimewatwaa Walawi badala ya wazaliwa wa kwanza wote walio katika wana wa Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Sasa ninawachukua Walawi badala ya wazaliwa wa kwanza wa Waisraeli, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Sasa ninawachukua Walawi badala ya wazaliwa wa kwanza wa Waisraeli, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Sasa ninawachukua Walawi badala ya wazaliwa wa kwanza wa Waisraeli, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Nami nimewatwaa Walawi badala ya wazaliwa wote wa kwanza wa kiume katika Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Nami nimewatwaa Walawi badala ya wazaliwa wote wa kwanza wa kiume katika Israeli. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Nami nimewatwaa Walawi badala ya wazaliwa wa kwanza wote walio katika wana wa Israeli. Tazama sura |
Nami nimempa Haruni hao Walawi wawe kipawa chake yeye na wanawe, kutoka kwa wana wa Israeli, ili wafanye kazi ya kutumikia wana wa Israeli katika hema ya kukutania, kisha wafanye upatanisho kwa ajili ya wana wa Israeli; ili kusiwe na maradhi kati ya wana wa Israeli, hapo wana wa Israeli watakapopakaribia mahali patakatifu.