Hesabu 8:16 - Swahili Revised Union Version16 Kwa kuwa nimepewa kabisa mimi watu hawa kutoka katika wana wa Israeli; badala ya wote wafunguao mimba, maana, wazaliwa wa kwanza wa wana wa Israeli wote, nimewatwaa wawe wangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Hao wametolewa wawe wangu kabisa, badala ya wazaliwa wa kwanza wa Waisraeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Hao wametolewa wawe wangu kabisa, badala ya wazaliwa wa kwanza wa Waisraeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Hao wametolewa wawe wangu kabisa, badala ya wazaliwa wa kwanza wa Waisraeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Wao ndio Waisraeli ambao watatolewa kabisa kwangu. Nimewatwaa kama mali yangu mwenyewe badala ya mzaliwa wa kwanza, mzaliwa wa kwanza wa kiume kutoka kwa kila mwanamke Mwisraeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Wao ndio Waisraeli ambao watatolewa kabisa kwangu. Nimewatwaa kama mali yangu mwenyewe badala ya mzaliwa wa kwanza, mzaliwa wa kwanza wa kiume kutoka kwa kila mwanamke wa Kiisraeli. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Kwa kuwa nimepewa kabisa mimi watu hawa kutoka katika wana wa Israeli; badala ya wote wafunguao mimba, maana, wazaliwa wa kwanza wa wana wa Israeli wote, nimewatwaa wawe wangu. Tazama sura |