Hesabu 7:62 - Swahili Revised Union Version62 na kijiko kimoja cha dhahabu, uzani wake shekeli kumi, kilichojaa uvumba; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema62 kisahani kimoja cha dhahabu cha gramu 110 kilichokuwa kimejazwa ubani; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND62 kisahani kimoja cha dhahabu cha gramu 110 kilichokuwa kimejazwa ubani; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza62 kisahani kimoja cha dhahabu cha gramu 110 kilichokuwa kimejazwa ubani; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu62 sinia moja la dhahabu lenye uzito wa shekeli kumi, likiwa limejazwa uvumba; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu62 sinia moja la dhahabu lenye uzito wa shekeli kumi, likiwa limejazwa uvumba; Tazama suraBIBLIA KISWAHILI62 na kijiko kimoja cha dhahabu, uzani wake shekeli kumi, kilichojaa uvumba; Tazama sura |
Nao watawaleta ndugu zenu wote kutoka mataifa yote, kuwa sadaka kwa BWANA, juu ya farasi, na katika magari, na katika machela, na juu ya nyumbu, na juu ya wanyama wepesi, mpaka mlima wangu mtakatifu Yerusalemu, asema BWANA; kama vile wana wa Israeli waletavyo sadaka yao nyumbani kwa BWANA katika chombo safi.