Hesabu 7:30 - Swahili Revised Union Version30 Siku ya nne Elisuri mwana wa Shedeuri, mkuu wa wana wa Reubeni; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Siku ya nne ikawa zamu ya Elisuri mwana wa Shedeuri, kiongozi wa kabila la Reubeni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Siku ya nne ikawa zamu ya Elisuri mwana wa Shedeuri, kiongozi wa kabila la Reubeni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Siku ya nne ikawa zamu ya Elisuri mwana wa Shedeuri, kiongozi wa kabila la Reubeni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Siku ya nne Elisuri mwana wa Shedeuri, kiongozi wa watu wa Reubeni, alileta sadaka yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Siku ya nne Elisuri mwana wa Shedeuri, kiongozi wa kabila la Reubeni, alileta sadaka yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI30 Siku ya nne Elisuri mwana wa Shedeuri, mkuu wa wana wa Reubeni; Tazama sura |