Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Hesabu 7:22 - Swahili Revised Union Version

22 na mbuzi dume mmoja kuwa sadaka ya dhambi;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 beberu mmoja kwa ajili ya sadaka ya kuondoa dhambi;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 beberu mmoja kwa ajili ya sadaka ya kuondoa dhambi;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 beberu mmoja kwa ajili ya sadaka ya kuondoa dhambi;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 beberu mmoja kwa ajili ya sadaka ya dhambi;

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 mbuzi dume mmoja kwa ajili ya sadaka ya dhambi;

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

22 na mbuzi dume mmoja kuwa sadaka ya dhambi;

Tazama sura Nakili




Hesabu 7:22
3 Marejeleo ya Msalaba  

akijulishwa hiyo dhambi yake aliyoifanya, ataleta mbuzi dume asiye na dosari awe matoleo yake;


na ng'ombe dume mchanga mmoja, na kondoo dume mmoja, na mwana-kondoo dume mmoja wa mwaka mmoja, kuwa sadaka ya kuteketezwa;


na kwa dhabihu ya sadaka za amani, ng'ombe dume wawili, na kondoo dume watano, na mbuzi dume watano, na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja; hayo ndiyo matoleo ya Nethaneli mwana wa Suari.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo