Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 4:39 - Swahili Revised Union Version

39 kuanzia wenye umri wa miaka thelathini na zaidi, hadi umri wa miaka hamsini, kila mtu aliyeingia katika utumishi, kwa kazi katika hema ya kukutania,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

39 wenye umri kati ya miaka thelathini na hamsini, waliofaa kuhudumu katika hema la mkutano,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

39 wenye umri kati ya miaka thelathini na hamsini, waliofaa kuhudumu katika hema la mkutano,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

39 wenye umri kati ya miaka thelathini na hamsini, waliofaa kuhudumu katika hema la mkutano,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

39 Watu wote kuanzia umri wa miaka thelathini hadi hamsini ambao walikuja kutumika katika Hema la Kukutania,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

39 Watu wote kuanzia umri wa miaka thelathini hadi hamsini ambao walikuja kutumika katika Hema la Kukutania,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

39 kuanzia wenye umri wa miaka thelathini na zaidi, hadi umri wa miaka hamsini, kila mtu aliyeingia katika utumishi, kwa kazi katika hema ya kukutania,

Tazama sura Nakili

Hesabu 4:39
4 Marejeleo ya Msalaba  

tangu waliopata umri wa miaka thelathini na zaidi, hata umri wa miaka hamsini, kila mtu aliyeingia katika utumishi kwa kazi katika hema ya kukutania,

Na hao waliohesabiwa katika wana wa Gershoni, kwa jamaa zao na nyumba za baba zao,

hata wale waliohesabiwa kwao, kwa jamaa zao na nyumba za baba zao, walikuwa elfu mbili na mia sita na thelathini.

Na Yesu mwenyewe, alipoanza kufundisha, alikuwa na umri wa miaka thelathini, akidhaniwa kuwa ni mwana wa Yusufu, wa Eli,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo