Hesabu 4:34 - Swahili Revised Union Version34 Basi Musa na Haruni na hao wakuu wa mkutano wakawahesabu wana wa Kohathi kwa jamaa zao, na nyumba za baba zao, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Basi, Mose, Aroni na viongozi wa jumuiya yote wakafanya sensa ya watu wa ukoo wa Kohathi, kufuatana na familia zao, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Basi, Mose, Aroni na viongozi wa jumuiya yote wakafanya sensa ya watu wa ukoo wa Kohathi, kufuatana na familia zao, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Basi, Mose, Aroni na viongozi wa jumuiya yote wakafanya sensa ya watu wa ukoo wa Kohathi, kufuatana na familia zao, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Musa, Haruni na viongozi wa jumuiya wakawahesabu Wakohathi kwa koo zao na jamaa zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Musa, Haruni na viongozi wa jumuiya wakawahesabu Wakohathi kwa koo zao na jamaa zao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI34 Basi Musa na Haruni na hao wakuu wa mkutano wakawahesabu wana wa Kohathi kwa jamaa zao, na nyumba za baba zao, Tazama sura |