Hesabu 4:25 - Swahili Revised Union Version25 wao watayachukua mapazia ya Hema Takatifu, na hema ya kukutania, hizo nguo za kufunikia, na zile ngozi za pomboo za kufunikia zilizo juu yake, na pazia la mlango wa hema ya kukutania; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 kifuniko chake, kifuniko cha ngozi laini ya mbuzi kilicho juu yake, pazia la lango, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 kifuniko chake, kifuniko cha ngozi laini ya mbuzi kilicho juu yake, pazia la lango, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 kifuniko chake, kifuniko cha ngozi laini ya mbuzi kilicho juu yake, pazia la lango, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Watabeba mapazia ya maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania, kifuniko chake na kifuniko cha nje cha ngozi za pomboo, mapazia ya maingilio ya Hema la Kukutania, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Watabeba mapazia ya maskani. Hema la Kukutania, kifuniko chake na kifuniko cha nje cha ngozi za pomboo, mapazia ya maingilio ya Hema la Kukutania, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 wao watayachukua mapazia ya Hema Takatifu, na hema ya kukutania, hizo nguo za kufunikia, na zile ngozi za pomboo za kufunikia zilizo juu yake, na pazia la mlango wa hema ya kukutania; Tazama sura |