Hesabu 4:20 - Swahili Revised Union Version20 lakini wasiingie wao kupaona mahali pale patakatifu, hata kwa dakika moja, ili wasife. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Lakini wazawa wa Kohathi hawataingia kamwe kuvitazama vitu hivyo vitakatifu sana; wakifanya hivyo watakufa.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Lakini wazawa wa Kohathi hawataingia kamwe kuvitazama vitu hivyo vitakatifu sana; wakifanya hivyo watakufa.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Lakini wazawa wa Kohathi hawataingia kamwe kuvitazama vitu hivyo vitakatifu sana; wakifanya hivyo watakufa.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Lakini Wakohathi hawaruhusiwi kuingia ndani ili kuangalia vitu vitakatifu, hata kwa kitambo kidogo, la sivyo watakufa.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Lakini Wakohathi hawaruhusiwi kuingia ndani ili kuangalia vitu vitakatifu, hata kwa kitambo kidogo, la sivyo watakufa.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 lakini wasiingie wao kupaona mahali pale patakatifu, hata kwa dakika moja, ili wasife. Tazama sura |