Hesabu 4:18 - Swahili Revised Union Version18 Msilitenge kabisa kabila la jamaa za Wakohathi katika hao Walawi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 “Msiache ukoo wa familia za Kohathi miongoni mwa Walawi uangamizwe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 “Msiache ukoo wa familia za Kohathi miongoni mwa Walawi uangamizwe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 “Msiache ukoo wa familia za Kohathi miongoni mwa Walawi uangamizwe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 “Hakikisheni kwamba koo za kabila la Wakohathi hawatengwi kutoka Walawi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 “Hakikisheni kwamba koo za kabila la Wakohathi hawatengwi kutoka Walawi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Msilitenge kabisa kabila la jamaa za Wakohathi katika hao Walawi; Tazama sura |