Hesabu 33:44 - Swahili Revised Union Version44 Wakasafiri kutoka Obothi, wakapiga kambi Lye-abarimu, katika mpaka wa Moabu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema44 Kutoka Obothi, walipiga kambi yao Iye-abarimu, katika eneo la Moabu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND44 Kutoka Obothi, walipiga kambi yao Iye-abarimu, katika eneo la Moabu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza44 Kutoka Obothi, walipiga kambi yao Iye-abarimu, katika eneo la Moabu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu44 Wakaondoka Obothi, wakapiga kambi huko Iye-Abarimu, mipakani mwa Moabu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu44 Wakaondoka Obothi, wakapiga kambi huko Iye-Abarimu, mipakani mwa Moabu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI44 Wakasafiri kutoka Obothi, wakapiga kambi Iye-abarimu, katika mpaka wa Moabu. Tazama sura |