Hesabu 33:2 - Swahili Revised Union Version2 Musa akaandika jinsi walivyotoka katika vituo, kituo baada ya kituo kwa kufuata amri ya BWANA; na hivi ndivyo vituo: Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Mose aliandika jina la kila mahali walipopiga kambi, kituo baada ya kituo, kwa agizo la Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Mose aliandika jina la kila mahali walipopiga kambi, kituo baada ya kituo, kwa agizo la Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Mose aliandika jina la kila mahali walipopiga kambi, kituo baada ya kituo, kwa agizo la Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Kwa agizo la Mwenyezi Mungu, Musa aliweka kumbukumbu ya vituo katika safari yao. Hivi ndivyo vituo katika safari yao: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Kwa agizo la bwana, Musa aliweka kumbukumbu ya vituo katika safari yao. Hivi ndivyo vituo katika safari yao: Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Musa akaandika jinsi walivyotoka katika vituo, kituo baada ya kituo kwa kufuata amri ya BWANA; na hivi ndivyo vituo: Tazama sura |