Hesabu 33:19 - Swahili Revised Union Version19 Wakasafiri kutoka Rithma, wakapiga kambi Rimon-peresi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Kutoka Rithma, walipiga kambi yao huko Rimon-perezi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Kutoka Rithma, walipiga kambi yao huko Rimon-perezi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Kutoka Rithma, walipiga kambi yao huko Rimon-perezi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Wakaondoka Rithma na kupiga kambi huko Rimon-Peresi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Wakaondoka Rithma na kupiga kambi huko Rimon-Peresi. Tazama sura |