Hesabu 33:14 - Swahili Revised Union Version14 Wakasafiri kutoka Alushi, wakapiga kambi Refidimu, ambapo hapakuwa na maji ya watu kunywa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Kutoka Alushi walipiga kambi yao huko Refidimu, ambapo hapakuwa na maji ya kunywa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Kutoka Alushi walipiga kambi yao huko Refidimu, ambapo hapakuwa na maji ya kunywa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Kutoka Alushi walipiga kambi yao huko Refidimu, ambapo hapakuwa na maji ya kunywa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Wakaondoka Alushi, wakapiga kambi Refidimu, mahali ambapo hapakuwa na maji ya watu kunywa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Wakaondoka Alushi, wakapiga kambi Refidimu, mahali ambapo hapakuwa na maji kwa ajili ya watu kunywa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Wakasafiri kutoka Alushi, wakapiga kambi Refidimu, ambapo hapakuwa na maji ya watu kunywa. Tazama sura |