Hesabu 32:21 - Swahili Revised Union Version21 tena kama kila mume wa kwenu mwenye kuchukua silaha atavuka Yordani mbele ya BWANA, hata atakapokuwa amekwisha watoa adui zake mbele yake, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Kila mpiganaji wenu atavuka mto Yordani na mkiwa chini ya uongozi wa Mwenyezi-Mungu, mtawashambulia adui zetu mpaka Mwenyezi-Mungu awashinde, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Kila mpiganaji wenu atavuka mto Yordani na mkiwa chini ya uongozi wa Mwenyezi-Mungu, mtawashambulia adui zetu mpaka Mwenyezi-Mungu awashinde, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Kila mpiganaji wenu atavuka mto Yordani na mkiwa chini ya uongozi wa Mwenyezi-Mungu, mtawashambulia adui zetu mpaka Mwenyezi-Mungu awashinde, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 na kama ninyi nyote mtaenda mmejivika silaha ng’ambo ya Yordani mbele za Mwenyezi Mungu hadi awe amewafukuza adui zake mbele zake, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 na kama ninyi nyote mtakwenda mmejivika silaha ng’ambo ya Yordani mbele za bwana mpaka awe amewafukuza adui zake mbele zake, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 tena kama kila mwanamume wa kwenu mwenye kuchukua silaha atavuka Yordani mbele za BWANA, hata atakapokuwa amekwisha watoa adui zake mbele yake, Tazama sura |