Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Hesabu 32:10 - Swahili Revised Union Version

10 Na siku ile hasira za BWANA ziliwaka, naye akaapa, akisema,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Mwenyezi-Mungu aliwaka hasira siku hiyo, akaapa akisema,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Mwenyezi-Mungu aliwaka hasira siku hiyo, akaapa akisema,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Mwenyezi-Mungu aliwaka hasira siku hiyo, akaapa akisema,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Siku ile hasira ya Mwenyezi Mungu iliwaka naye akaapa kiapo hiki:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Siku ile hasira ya bwana iliwaka naye akaapa kiapo hiki:

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

10 Na siku ile hasira za BWANA ziliwaka, naye akaapa, akisema,

Tazama sura Nakili




Hesabu 32:10
8 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo Nikaapa kwa hasira yangu Hawataingia katika pumziko langu.


Tena niliwainulia mkono wangu jangwani, ya kwamba sitawaingiza katika nchi ile niliyokuwa nimewapa, itiririkayo maziwa na asali, ambayo ni utukufu wa nchi zote;


BWANA akamwuliza Musa, Je! Watu hawa watanidharau hadi lini? Wasiniamini hadi lini? Nijapokuwa nimefanya ishara hizo zote kati yao.


lakini hakika yangu, kama niishivyo, tena kama dunia hii nzima itakavyojawa na utukufu wa BWANA;


hakika yangu hawataiona hiyo nchi niliyowaapia baba zao, wala katika hao wote walionidharau hapana atakayeiona;


mizoga yenu itaanguka katika jangwa hili, na wote waliohesabiwa miongoni mwenu, kama jumla ya hesabu yenu, tangu waliopata umri wa miaka ishirini na zaidi, hao walioninung'unikia,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo