Hesabu 31:7 - Swahili Revised Union Version7 Nao wakapigana na Midiani kama BWANA alivyomwagiza Musa; nao wakawaua kila mwanamume. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Waliishambulia nchi ya Midiani, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose, wakawaua wanaume wote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Waliishambulia nchi ya Midiani, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose, wakawaua wanaume wote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Waliishambulia nchi ya Midiani, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose, wakawaua wanaume wote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Walipigana dhidi ya Wamidiani, kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza Musa, nao waliua kila mwanaume. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Walipigana dhidi ya Wamidiani, kama bwana alivyomwagiza Musa, nao waliua kila mwanaume. Tazama sura |