Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 31:5 - Swahili Revised Union Version

5 Basi walitolewa katika maelfu ya Israeli, elfu moja ya kila kabila, wanaume elfu kumi na mbili walioandaliwa kwa vita.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Basi, watu 1,000 walitolewa kutoka kila kabila miongoni mwa maelfu ya Waisraeli, jumla wanaume 12,000 wenye silaha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Basi, watu 1,000 walitolewa kutoka kila kabila miongoni mwa maelfu ya Waisraeli, jumla wanaume 12,000 wenye silaha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Basi, watu 1,000 walitolewa kutoka kila kabila miongoni mwa maelfu ya Waisraeli, jumla wanaume 12,000 wenye silaha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Kwa hiyo waliandaliwa wanaume elfu kumi na mbili kwa vita, wanaume elfu moja kutoka kila kabila, walitolewa kutoka koo za Israeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Kwa hiyo waliandaliwa wanaume 12,000 kwa vita, wanaume 1,000 kutoka kila kabila, walitolewa kutoka koo za Israeli.

Tazama sura Nakili

Hesabu 31:5
2 Marejeleo ya Msalaba  

Katika kila kabila mtatoa watu elfu moja, katika kabila zote za Israeli, nanyi mtawatuma waende vitani.

Basi Musa akawatuma watu elfu wa kila kabila waende vitani, wao na Finehasi mwana wa Eleazari kuhani, waende vitani, na vile vyombo vya mahali patakatifu, na hizo tarumbeta za kupiga sauti za kugutusha mkononi mwake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo