Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Hesabu 29:5 - Swahili Revised Union Version

5 na mbuzi dume mmoja kuwa sadaka ya dhambi, ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Tena mtatoa beberu mmoja kuwa sadaka ya kuondoa dhambi ili kuwafanyia upatanisho.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Tena mtatoa beberu mmoja kuwa sadaka ya kuondoa dhambi ili kuwafanyia upatanisho.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Tena mtatoa beberu mmoja kuwa sadaka ya kuondoa dhambi ili kuwafanyia upatanisho.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Ongeza beberu mmoja kuwa sadaka ya dhambi, ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Ongeza beberu mmoja kama sadaka ya dhambi kufanya upatanisho kwa ajili yenu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

5 na mbuzi dume mmoja kuwa sadaka ya dhambi, ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu;

Tazama sura Nakili




Hesabu 29:5
6 Marejeleo ya Msalaba  

Wakaitwaa kanzu ya Yusufu, wakachinja mwana-mbuzi, na kuichovya kanzu katika damu.


Tena mbuzi dume mmoja kuwa sadaka ya dhambi kwa BWANA itasongezwa zaidi ya hiyo sadaka ya kuteketezwa ya sikuzote, pamoja na sadaka yake ya kinywaji.


tena mtasongeza mbuzi dume mmoja kuwa sadaka ya dhambi, ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu.


na mbuzi dume mmoja, ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu.


na sehemu ya moja ya kumi kwa kila mwana-kondoo katika wale wana-kondoo saba;


zaidi ya hiyo sadaka ya kuteketezwa ya kuandama mwezi, na sadaka yake ya unga, na hiyo sadaka ya kuteketezwa ya sikuzote, na sadaka yake ya unga, na sadaka zake za vinywaji, kama ilivyo amri yake, kuwa harufu ya kupendeza, ni sadaka iliyosongezwa kwa BWANA kwa moto.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo