Hesabu 28:22 - Swahili Revised Union Version22 tena mtasongeza mbuzi dume mmoja kuwa sadaka ya dhambi, ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Mtatoa pia beberu mmoja kuwa sadaka ya kuondoa dhambi ili kuwafanyia upatanisho. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Mtatoa pia beberu mmoja kuwa sadaka ya kuondoa dhambi ili kuwafanyia upatanisho. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Mtatoa pia beberu mmoja kuwa sadaka ya kuondoa dhambi ili kuwafanyia upatanisho. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Pia mtoe beberu mmoja kuwa sadaka ya dhambi ambaye atafanya upatanisho kwa ajili yenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Pia mtoe beberu mmoja kama sadaka ya dhambi ambaye atafanya upatanisho kwa ajili yenu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 tena mtasongeza mbuzi dume mmoja kuwa sadaka ya dhambi, ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu. Tazama sura |