Hesabu 28:18 - Swahili Revised Union Version18 Siku ya kwanza patakuwa na kusanyiko takatifu; hamtafanya kazi yoyote ya utumishi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Katika siku ya kwanza kutakuwa na mkutano mtakatifu. Siku hiyo hamtafanya kazi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Katika siku ya kwanza kutakuwa na mkutano mtakatifu. Siku hiyo hamtafanya kazi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Katika siku ya kwanza kutakuwa na mkutano mtakatifu. Siku hiyo hamtafanya kazi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Katika siku ya kwanza mtakuwa na kusanyiko takatifu, msifanye kazi za kawaida. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Katika siku ya kwanza mtakuwa na kusanyiko takatifu, msifanye kazi za kawaida. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Siku ya kwanza patakuwa na kusanyiko takatifu; hamtafanya kazi yoyote ya utumishi; Tazama sura |