Hesabu 27:3 - Swahili Revised Union Version3 Baba yetu alikufa nyikani, naye hakuwamo katika mkutano wa hao waliojikutanisha kinyume cha BWANA katika mkutano wa Kora; lakini akafa katika dhambi zake mwenyewe; naye alikuwa hana wana wa kiume. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 “Baba yetu alifia jangwani nyikani na bila mtoto yeyote wa kiume. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 “Baba yetu alifia jangwani nyikani na bila mtoto yeyote wa kiume. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 “Baba yetu alifia jangwani nyikani na bila mtoto yeyote wa kiume. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 “Baba yetu alikufa jangwani. Hakuwa miongoni mwa wafuasi wa Kora, ambao walifungamana pamoja dhidi ya Mwenyezi Mungu, lakini alikufa kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe na hakuacha wana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 “Baba yetu alikufa jangwani. Hakuwa miongoni mwa wafuasi wa Kora, ambao walifungamana pamoja dhidi ya bwana, lakini alikufa kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe na hakuacha wana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Baba yetu alikufa nyikani, naye hakuwamo katika mkutano wa hao waliojikutanisha kinyume cha BWANA katika mkutano wa Kora; lakini akafa katika dhambi zake mwenyewe; naye alikuwa hana wana wa kiume. Tazama sura |