Hesabu 27:19 - Swahili Revised Union Version19 kisha ukamweke mbele ya Eleazari kuhani, na mbele ya jumuiya yote; ukampe mausia mbele ya macho yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 na kumsimamisha mbele ya kuhani Eleazari na jumuiya yote, umkabidhi jukumu hilo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 na kumsimamisha mbele ya kuhani Eleazari na jumuiya yote, umkabidhi jukumu hilo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 na kumsimamisha mbele ya kuhani Eleazari na jumuiya yote, umkabidhi jukumu hilo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Msimamishe mbele ya kuhani Eleazari pamoja na kusanyiko lote, umpe maagizo mbele yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Msimamishe mbele ya kuhani Eleazari pamoja na kusanyiko lote, umpe maagizo mbele yao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 kisha ukamweke mbele ya Eleazari kuhani, na mbele ya jumuiya yote; ukampe mausia mbele ya macho yao. Tazama sura |