Hesabu 25:12 - Swahili Revised Union Version12 Basi kwa hiyo, sema, Tazama, nampa yeye agano langu la amani; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Kwa hiyo mwambie kwamba ninafanya naye agano la amani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Kwa hiyo mwambie kwamba ninafanya naye agano la amani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Kwa hiyo mwambie kwamba ninafanya naye agano la amani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Kwa hiyo mwambie Finehasi ninafanya agano langu la amani naye. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Kwa hiyo mwambie Finehasi ninafanya Agano langu la amani naye. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Basi kwa hiyo, sema, Tazama, nampa yeye agano langu la amani; Tazama sura |