Hesabu 24:25 - Swahili Revised Union Version25 Basi Balaamu akainuka, akaondoka na kurudi mahali pake; Balaki naye akaenda zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Basi, Balaamu akaondoka, akarudi nyumbani; Balaki pia akaenda zake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Basi, Balaamu akaondoka, akarudi nyumbani; Balaki pia akaenda zake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Basi, Balaamu akaondoka, akarudi nyumbani; Balaki pia akaenda zake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Kisha Balaamu akainuka na kurudi nyumbani mwake, naye Balaki akashika njia yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Kisha Balaamu akainuka na kurudi nyumbani kwake, naye Balaki akashika njia yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Basi Balaamu akainuka, akaondoka na kurudi mahali pake; Balaki naye akaenda zake. Tazama sura |