Hesabu 23:5 - Swahili Revised Union Version5 BWANA akatia neno katika kinywa chake Balaamu, akasema, Umrudie Balaki; ukaseme maneno haya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Mwenyezi-Mungu akampa Balaamu maneno atakayosema na kumwambia arudi kwa Balaki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Mwenyezi-Mungu akampa Balaamu maneno atakayosema na kumwambia arudi kwa Balaki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Mwenyezi-Mungu akampa Balaamu maneno atakayosema na kumwambia arudi kwa Balaki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Mwenyezi Mungu akaweka ujumbe katika kinywa cha Balaamu na kusema, “Rudi kwa Balaki umpe ujumbe huu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 bwana akaweka ujumbe katika kinywa cha Balaamu na kusema, “Rudi kwa Balaki umpe ujumbe huu.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 BWANA akatia neno katika kinywa chake Balaamu, akasema, Umrudie Balaki; ukaseme maneno haya. Tazama sura |