Hesabu 23:28 - Swahili Revised Union Version28 Basi Balaki akamchukua Balaamu akaenda naye mpaka kilele cha mlima Peori, mahali paelekeapo upande wa nyika iliyo chini yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Basi, Balaki akamchukua Balaamu mpaka kwenye kilele cha Mlima Peori, ambapo mtu akisimama anaona jangwani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Basi, Balaki akamchukua Balaamu mpaka kwenye kilele cha Mlima Peori, ambapo mtu akisimama anaona jangwani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Basi, Balaki akamchukua Balaamu mpaka kwenye kilele cha Mlima Peori, ambapo mtu akisimama anaona jangwani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Balaki akamchukua Balaamu juu ya Mlima Peori, unaotazamana na nyika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Balaki akamchukua Balaamu juu ya Mlima Peori, unaotazamana na nyika. Tazama sura |