Hesabu 23:2 - Swahili Revised Union Version2 Balaki akafanya kama Balaamu alivyonena. Balaki na Balaamu wakatoa sadaka, ng'ombe dume mmoja na kondoo dume mmoja juu ya kila madhabahu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Balaki akafanya kama Balaamu alivyosema. Basi, wakatoa juu ya kila madhabahu kafara fahali mmoja na kondoo dume mmoja. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Balaki akafanya kama Balaamu alivyosema. Basi, wakatoa juu ya kila madhabahu kafara fahali mmoja na kondoo dume mmoja. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Balaki akafanya kama Balaamu alivyosema. Basi, wakatoa juu ya kila madhabahu kafara fahali mmoja na kondoo dume mmoja. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Balaki akafanya kama Balaamu alivyosema; hao wawili kila mmoja wao akatoa fahali mmoja na kondoo dume mmoja juu ya kila madhabahu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Balaki akafanya kama Balaamu alivyosema; hao wawili kila mmoja wao akatoa fahali mmoja na kondoo dume mmoja juu ya kila madhabahu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Balaki akafanya kama Balaamu alivyonena. Balaki na Balaamu wakatoa sadaka, ng'ombe dume mmoja na kondoo dume mmoja juu ya kila madhabahu. Tazama sura |