Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Hesabu 21:6 - Swahili Revised Union Version

6 BWANA akatuma nyoka za moto kati ya watu, wakawauma, watu wengi wakafa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Hapo Mwenyezi-Mungu akapeleka nyoka wenye sumu miongoni mwa watu, wakawauma hata Waisraeli wengi wakafa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Hapo Mwenyezi-Mungu akapeleka nyoka wenye sumu miongoni mwa watu, wakawauma hata Waisraeli wengi wakafa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Hapo Mwenyezi-Mungu akapeleka nyoka wenye sumu miongoni mwa watu, wakawauma hata Waisraeli wengi wakafa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Ndipo Mwenyezi Mungu akapeleka nyoka wenye sumu kati yao; wakawauma watu, nao Waisraeli wengi wakafa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Ndipo bwana akapeleka nyoka wenye sumu katikati yao; wakawauma watu, nao Waisraeli wengi wakafa.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

6 BWANA akatuma nyoka wa moto kati ya watu, wakawauma, watu wengi wakafa.

Tazama sura Nakili




Hesabu 21:6
8 Marejeleo ya Msalaba  

Msifurahi, Enyi Wafilisti wote, Kwa sababu fimbo ile iliyokupiga imevunjika; Maana katika shina la nyoka atatoka fira, Na uzao wake ni joka la moto arukaye Sef 2:4-7; Zek 9:5-7


Ufunuo juu ya wanyama wa Negebu. Katikati ya nchi ya taabu na dhiki, Ambayo hutoka huko simba jike na simba angurumaye, Nyoka na joka la moto arukaye, Huchukua mali zao mabegani mwa punda wachanga, Na hazina zao juu ya nundu za ngamia Waende kwa watu ambao hawatawafaa kitu.


Maana, tazama, nitatuma nyoka, naam, fira, kati yenu, wasioweza kutumbuizwa kwa uganga; nao watawauma, asema BWANA.


Nikipitisha wanyama wabaya ndani ya nchi ile, wakaiharibu hata ikawa ukiwa, mtu awaye yote asiweze kupita ndani yake, kwa sababu ya wanyama hao;


Wala tusimjaribu Bwana, kama wengine wao walivyomjaribu, wakauawa na nyoka.


aliyekuongoza katika jangwa lile kubwa lenye kitisho, lenye nyoka za moto na nge, nchi ya kiu isiyokuwa na maji; aliyekutolea maji katika mwamba mgumu,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo