Hesabu 21:32 - Swahili Revised Union Version32 Kisha Musa akatuma watu ili kupeleleza Yazeri, nao wakaitwaa miji yake, wakawafukuza Waamori waliokuwamo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Kisha Mose alituma watu wapeleleze mji wa Yazeri; wakauteka pamoja na vitongoji vyake, wakawafukuza Waamori waliokaa humo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Kisha Mose alituma watu wapeleleze mji wa Yazeri; wakauteka pamoja na vitongoji vyake, wakawafukuza Waamori waliokaa humo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Kisha Mose alituma watu wapeleleze mji wa Yazeri; wakauteka pamoja na vitongoji vyake, wakawafukuza Waamori waliokaa humo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Baada ya Musa kutuma wapelelezi kwenda mji wa Yazeri, Waisraeli waliteka makazi ya mji huo, na kuwafukuza Waamori walioishi huko. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Baada ya Musa kutuma wapelelezi kwenda mji wa Yazeri, Waisraeli waliteka viunga vya mji huo na kuwafukuza Waamori waliokuwa wanaishi huko. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI32 Kisha Musa akatuma watu ili kupeleleza Yazeri, nao wakaitwaa miji yake, wakawafukuza Waamori waliokuwamo. Tazama sura |