Hesabu 21:11 - Swahili Revised Union Version11 Wakasafiri kutoka Obothi, wakapanga Iye-abarimu, katika jangwa lililoelekea Moabu, upande wa maawio ya jua. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Kutoka huko walisafiri mpaka Iye-abarimu, katika jangwa upande wa mashariki, mwa Moabu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Kutoka huko walisafiri mpaka Iye-abarimu, katika jangwa upande wa mashariki, mwa Moabu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Kutoka huko walisafiri mpaka Iye-abarimu, katika jangwa upande wa mashariki, mwa Moabu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Kisha wakaondoka Obothi na kupiga kambi huko Iye-Abarimu, katika jangwa linalotazamana na Moabu kuelekea mawio ya jua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Kisha wakaondoka Obothi na kupiga kambi huko Iye-Abarimu, katika jangwa linalotazamana na Moabu kuelekea mawio ya jua. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Wakasafiri kutoka Obothi, wakapanga Iye-abarimu, katika jangwa lililoelekea Moabu, upande wa mawio ya jua. Tazama sura |