Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 20:29 - Swahili Revised Union Version

29 Na mkutano wote ulipoona ya kuwa Haruni amekufa, wakamwombolezea Haruni muda wa siku thelathini, maana, nyumba yote ya Israeli ikamwombolezea.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Jumuiya yote ya watu ilipopata habari kwamba Aroni amefariki, ikafanya matanga ya siku thelathini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Jumuiya yote ya watu ilipopata habari kwamba Aroni amefariki, ikafanya matanga ya siku thelathini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Jumuiya yote ya watu ilipopata habari kwamba Aroni amefariki, ikafanya matanga ya siku thelathini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Jumuiya yote walipofahamu kwamba Haruni amekufa, Waisraeli wote wakamwomboleza kwa siku thelathini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Jumuiya yote ilipofahamu kwamba Haruni amekufa, jamaa yote ya Kiisraeli wakamwomboleza kwa siku thelathini.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

29 Na mkutano wote ulipoona ya kuwa Haruni amekufa, wakamwombolezea Haruni muda wa siku thelathini, maana, nyumba yote ya Israeli ikamwombolezea.

Tazama sura Nakili

Hesabu 20:29
9 Marejeleo ya Msalaba  

Mungu akapaita pale pakavu Nchi; na makusanyiko ya maji akayaita Bahari; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.

Mungu akaiita nuru Mchana, na giza akaliita Usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya kwanza.

Sara akafa katika Kiriath-arba, ndio Hebroni, katika nchi ya Kanaani. Abrahamu akamlilia na kumwombolezea Sara.

Wakaja mpaka uwanja wa kupuria nafaka wa Atadi, uliyo ng'ambo ya Yordani. Wakaomboleza huko maombolezo makuu, mazito sana. Akafanya matanga ya baba yake siku saba.

Siku zake arubaini zikaisha, maana siku hizo zilitimiza siku za wale waliohifadhiwa kwa kupakwa dawa. Wamisri wakamwombolezea siku sabini.

Watu watauwa wakamzika Stefano, wakamfanyia maombolezo makuu.

Wana wa Israeli wakamwombolezea Musa katika uwanda wa Moabu siku thelathini; basi siku za maombolezo ya matanga ya Musa zikaisha.

Akafa Samweli; nao Israeli wote wakakusanyika, wakamwomboleza, wakamzika nyumbani mwake huko Rama. Kisha Daudi akaondoka, akashuka mpaka nyikani mwa Maoni.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo