Hesabu 20:13 - Swahili Revised Union Version13 Maji haya ni maji ya Meriba; kwa sababu wana wa Israeli waliteta na BWANA, naye alijionesha kuwa mtakatifu kati yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Hayo ni maji ya Meriba, mahali ambapo Waisraeli walimnungunikia Mwenyezi-Mungu, naye alijionesha kwa utakatifu kati yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Hayo ni maji ya Meriba, mahali ambapo Waisraeli walimnungunikia Mwenyezi-Mungu, naye alijionesha kwa utakatifu kati yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Hayo ni maji ya Meriba, mahali ambapo Waisraeli walimnung'unikia Mwenyezi-Mungu, naye alijionesha kwa utakatifu kati yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Haya yalikuwa maji ya Meriba, ambapo Waisraeli waligombana na Mwenyezi Mungu, naye akajionesha kuwa mtakatifu kati yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Haya yalikuwa maji ya Meriba, mahali pale ambapo Waisraeli waligombana na bwana, naye akajionyesha mwenyewe huko kuwa mtakatifu katikati yao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Maji haya ni maji ya Meriba; kwa sababu wana wa Israeli waliteta na BWANA, naye alijionesha kuwa mtakatifu kati yao. Tazama sura |