Hesabu 2:33 - Swahili Revised Union Version33 Lakini Walawi hawakuhesabiwa katika wana wa Israeli; kama BWANA alivyomwagiza Musa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Lakini Walawi hawakuhesabiwa miongoni mwa watu wa Israeli kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Lakini Walawi hawakuhesabiwa miongoni mwa watu wa Israeli kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Lakini Walawi hawakuhesabiwa miongoni mwa watu wa Israeli kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Hata hivyo, Walawi hawakuhesabiwa pamoja na Waisraeli wengine, kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza Musa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Hata hivyo, Walawi hawakuhesabiwa pamoja na Waisraeli wengine, kama bwana alivyomwagiza Musa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI33 Lakini Walawi hawakuhesabiwa katika wana wa Israeli; kama BWANA alivyomwagiza Musa. Tazama sura |