Hesabu 18:28 - Swahili Revised Union Version28 Hivyo ninyi nanyi mtasongeza sadaka ya kuinuliwa kwa BWANA katika zaka zenu zote, mpokeazo mikononi mwa wana wa Israeli; kwa hiyo mtampa Haruni kuhani hiyo sadaka ya kuinuliwa kwa BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Basi, ndivyo mtakavyonitolea mimi Mwenyezi-Mungu sadaka za zaka mtakazopokea kutoka kwa Waisraeli. Zaka hiyo mtakayonitolea mimi Mwenyezi-Mungu mtampa kuhani Aroni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Basi, ndivyo mtakavyonitolea mimi Mwenyezi-Mungu sadaka za zaka mtakazopokea kutoka kwa Waisraeli. Zaka hiyo mtakayonitolea mimi Mwenyezi-Mungu mtampa kuhani Aroni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Basi, ndivyo mtakavyonitolea mimi Mwenyezi-Mungu sadaka za zaka mtakazopokea kutoka kwa Waisraeli. Zaka hiyo mtakayonitolea mimi Mwenyezi-Mungu mtampa kuhani Aroni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Kwa njia hii, ninyi pia mtatoa sadaka kwa Mwenyezi Mungu kutoka zaka zote mtakazopokea kutoka kwa Waisraeli. Kutoka kwa zaka hizi, ni lazima mtoe sehemu ya Mwenyezi Mungu kwa Haruni, kuhani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Kwa njia hii, ninyi pia mtatoa sadaka kwa bwana kutoka zaka zote mtakazopokea kutoka kwa Waisraeli. Kutoka kwenye zaka hizi, ni lazima mtoe sehemu ya bwana kwa Haruni, kuhani. Tazama sura |