Hesabu 17:9 - Swahili Revised Union Version9 Kisha Musa akazitoa nje hizo fimbo zote kutoka hapo mbele za BWANA na kuziweka mbele ya wana wa Israeli wote; nao wakaangalia, na kila mtu akaitwaa fimbo yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Kisha Mose akazitoa fimbo zote hapo mbele ya Mwenyezi-Mungu, akawaonesha Waisraeli wote, na kila kiongozi akachukua fimbo yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Kisha Mose akazitoa fimbo zote hapo mbele ya Mwenyezi-Mungu, akawaonesha Waisraeli wote, na kila kiongozi akachukua fimbo yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Kisha Mose akazitoa fimbo zote hapo mbele ya Mwenyezi-Mungu, akawaonesha Waisraeli wote, na kila kiongozi akachukua fimbo yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Ndipo Musa akaleta zile fimbo zote kwa Waisraeli wote kutoka mbele za Mwenyezi Mungu. Wakaziangalia, na kila mtu akaichukua fimbo yake mwenyewe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Ndipo Musa akaleta zile fimbo zote kwa Waisraeli wote kutoka mbele za bwana. Wakaziangalia, na kila mtu akaichukua fimbo yake mwenyewe. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Kisha Musa akazitoa nje hizo fimbo zote kutoka hapo mbele za BWANA na kuziweka mbele ya wana wa Israeli wote; nao wakaangalia, na kila mtu akaitwaa fimbo yake. Tazama sura |