Hesabu 16:35 - Swahili Revised Union Version35 Kisha moto ukatoka kwa BWANA, ukawateketeza hao watu mia mbili hamsini waliofukiza uvumba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Kisha Mwenyezi-Mungu akapeleka moto ukawateketeza wale watu 250 waliokwenda kufukiza ubani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Kisha Mwenyezi-Mungu akapeleka moto ukawateketeza wale watu 250 waliokwenda kufukiza ubani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Kisha Mwenyezi-Mungu akapeleka moto ukawateketeza wale watu 250 waliokwenda kufukiza ubani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Moto ukaja kutoka kwa Mwenyezi Mungu, ukawateketeza wale watu mia mbili na hamsini waliokuwa wakifukiza uvumba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Moto ukaja kutoka kwa bwana, ukawateketeza wale watu 250 waliokuwa wakifukiza uvumba. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI35 Kisha moto ukatoka kwa BWANA, ukawateketeza hao watu mia mbili hamsini waliofukiza uvumba. Tazama sura |