Hesabu 16:32 - Swahili Revised Union Version32 nchi ikafunua kinywa chake, na kuwameza, na watu wa nyumba zao na wote walioshikamana na Kora, na vyombo vyao vyote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 kuwameza watu hao, jamaa zao, pamoja na wafuasi wote wa Kora na mali zao zote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 kuwameza watu hao, jamaa zao, pamoja na wafuasi wote wa Kora na mali zao zote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 kuwameza watu hao, jamaa zao, pamoja na wafuasi wote wa Kora na mali zao zote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 nchi ikafunua kinywa chake na kuwameza wao, pamoja na jamaa zao, na watu wote wa Kora na mali yao yote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 nchi ikafunua kinywa chake na kuwameza wao, pamoja na jamaa zao, na watu wote wa Kora na mali zao zote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI32 nchi ikafunua kinywa chake, na kuwameza, na watu wa nyumba zao na wote walioshikamana na Kora, na vyombo vyao vyote. Tazama sura |