Hesabu 16:11 - Swahili Revised Union Version11 Kwa sababu hii wewe na mkutano wako wote mmekusanyika kinyume cha BWANA; na Haruni, je! Yeye ni nani hata mkamnung'unikia? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Kwa hiyo wewe na kundi lako mnamshambulia Mwenyezi-Mungu. Nyinyi mnamnungunikia Aroni, lakini ukweli ni kwamba mnanungunika dhidi ya Mungu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Kwa hiyo wewe na kundi lako mnamshambulia Mwenyezi-Mungu. Nyinyi mnamnungunikia Aroni, lakini ukweli ni kwamba mnanungunika dhidi ya Mungu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Kwa hiyo wewe na kundi lako mnamshambulia Mwenyezi-Mungu. Nyinyi mnamnung'unikia Aroni, lakini ukweli ni kwamba mnanung'unika dhidi ya Mungu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Wewe na wafuasi wako wote mmekusanyika pamoja kinyume cha Mwenyezi Mungu. Haruni ni nani kwamba ninyi mnung’unike dhidi yake?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Wewe na wafuasi wako wote mmekusanyika pamoja kinyume cha bwana. Haruni ni nani kwamba ninyi mnung’unike dhidi yake?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Kwa sababu hii wewe na mkutano wako wote mmekusanyika kinyume cha BWANA; na Haruni, je! Yeye ni nani hata mkamnung'unikia? Tazama sura |