Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 15:6 - Swahili Revised Union Version

6 Au kwa ajili ya kondoo dume, utaiandaa sadaka ya unga ya sehemu za kumi mbili za efa ya unga mwembamba uliochanganywa na sehemu ya tatu ya hini ya mafuta;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Wakati wa kutoa sadaka ya kondoo dume, kilo mbili za unga uliokandwa na lita moja u nusu ya mafuta vitatolewa kama sadaka ya nafaka,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Wakati wa kutoa sadaka ya kondoo dume, kilo mbili za unga uliokandwa na lita moja u nusu ya mafuta vitatolewa kama sadaka ya nafaka,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Wakati wa kutoa sadaka ya kondoo dume, kilo mbili za unga uliokandwa na lita moja u nusu ya mafuta vitatolewa kama sadaka ya nafaka,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 “ ‘Pamoja na kondoo dume, andaa sadaka ya nafaka ya sehemu mbili za kumi ya efa ya unga laini uliochanganywa na theluthi moja ya hini ya mafuta,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 “ ‘Pamoja na kondoo dume andaa sadaka ya nafaka ya sehemu mbili za kumi za efa za unga laini uliochanganywa na theluthi moja ya hini ya mafuta,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

6 Au kwa ajili ya kondoo dume, utaiandaa sadaka ya unga ya sehemu za kumi mbili za efa ya unga mwembamba uliochanganywa na sehemu ya tatu ya hini ya mafuta;

Tazama sura Nakili

Hesabu 15:6
5 Marejeleo ya Msalaba  

Na matoleo yake, kwamba ni mbuzi, ndipo atakapomtoa mbele za BWANA;

ndipo yeye atakayetoa matoleo yake na amtolee BWANA sadaka ya unga ya sehemu ya kumi ya efa ya unga mwembamba uliochanganywa na robo ya hini ya mafuta;

na divai kwa sadaka ya kinywaji, robo ya hini, utaiandaa pamoja na sadaka ya kuteketezwa, au kwa dhabihu ya kuchinjwa, kwa ajili ya kila mwana-kondoo.

na kwa sadaka ya kinywaji utasongeza sehemu ya tatu ya hini ya divai, kuwa harufu ya kupendeza kwa BWANA.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo